Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Kwa maana sauti ya salamu yako ilipoingia masikioni mwangu, mtoto mchanga aliruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Nakuambia, mara tu niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Nakuambia, mara tu niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Nakuambia, mara tu niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliye tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Mara tu niliposikia sauti ya salamu yako, mtoto aliyeko tumboni mwangu aliruka kwa furaha.

Tazama sura Nakili




Luka 1:44
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa Elizabeti alipoisikia salamu ya Mariamu, mtoto mchanga akaruka ndani ya tumbo lake; Elizabeti akajazwa Roho Mtakatifu, akapaaza sauti yake kwa nguvu, akasema,


Na latoka wapi neno hili lililonipata, mama wa Bwana wangu anijilie mimi?


Na yu kheri aliyesadiki, kwa maana maneno hayo aliyoambiwa na Bwana yatatimizwa.


Furahini siku ile, mkaruke: kwa kuwa bakika thawabu yenu nyiugi mbinguni, maana baba zao waliwatenda manabii mambo kama hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo