Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Na latoka wapi neno hili lililonipata, mama wa Bwana wangu anijilie mimi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Lakini ni kwa nini mimi nimepata kibali kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Tazama sura Nakili




Luka 1:43
15 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokuwa katika kusema na makutano, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wakitaka kusema nae.


Lakini Yohana alikuwa akimzuia, akinena, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe, na wewe waja kwangu?


Umebarikiwa wewe katika wanawake, na uzao wa tumbo lako umebarikiwa.


Kwa maana sauti ya salamu yako ilipoingia masikioni mwangu, mtoto mchanga aliruka kwa shangwe ndani ya tumbo langu.


maana leo katika mji wa Daud amezaiiwa Mwokozi kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana.


maana si stahili yangu wewe uingie chini ya dari yangu: kwa biyo nalijiona sistahili kuja kwako: lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona.


Ninyi mwaniita Mwalimu, na Bwana; na mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.


Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu, na Mungu wangu.


Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;


Naam, naliona mambo yote kuwa khasara kwa ajili ya uzuri usio kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambae kwa ajili yake nimepata khasara ya mambo yote, nikiyahesabu kuwa kania mavi illi nimpate Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo