Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Umebarikiwa wewe katika wanawake, na uzao wa tumbo lako umebarikiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 akapaza sauti kwa nguvu, akasema, “Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, “Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa.

Tazama sura Nakili




Luka 1:42
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akaja kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.


Ikawa Elizabeti alipoisikia salamu ya Mariamu, mtoto mchanga akaruka ndani ya tumbo lake; Elizabeti akajazwa Roho Mtakatifu, akapaaza sauti yake kwa nguvu, akasema,


Na latoka wapi neno hili lililonipata, mama wa Bwana wangu anijilie mimi?


Kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake: Kwa maana hakika, tokea leo vizazi vyote wataniita kheri.


wakinena Amebarikiwa mfalme ajae kwa jina la Bwana, amani mbinguni, na utukufu palipo juu.


na katika bao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili, aliye juu ya mambo yote, Mungu, anaehimidiwa milele. Amin.


tukimtazama Yesu, aliveianzisha imani yetu na kuitimiliza; ambae kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele zake aliuvumilia msalaba na kuidharau aibu, nae ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo