Luka 1:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192140 Akaingia nyumbani kwa Zakaria, akamwamkia Elizabeti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Akaingia nyumbani mwa Zakaria na kumsalimu Elizabeti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti. Tazama sura |