Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda milimani kwa haraka hatta mji mmoja wa Yuda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Wakati huo Mariamu akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye nchi ya vilima ya Yudea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Wakati huo Mariamu akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye vilima vya Uyahudi.

Tazama sura Nakili

Luka 1:39
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mariamu akasema, Tazama, mimi mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kwa neno lako. Malaika akaondoka kwake.

Akaingia nyumbani kwa Zakaria, akamwamkia Elizabeti.

Khofu ikawaingia wote waliokaa karibu nao; yakaenea maneno haya pia milimani mwote Uyahudi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo