Luka 1:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192134 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili; kwa maana simjui mume? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?” Tazama sura |