Luka 1:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192131 Tazama, utachukua mimba, utazaa mwana, utamwita jina lake Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto wa kiume na utamwita jina Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Tazama, utachukua mimba, nawe utamzaa mtoto mwanaume na utamwita jina lake Isa. Tazama sura |