Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu; kwa maana umepata neema kwa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Malaika akamwambia, “Usiogope Maria, kwa maana Mungu amekujalia neema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Malaika akamwambia, “Usiogope Maria, kwa maana Mungu amekujalia neema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Malaika akamwambia, “Usiogope Maria, kwa maana Mungu amekujalia neema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Mariamu; umepata kibali kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Ndipo malaika akamwambia, “Usiogope, Mariamu, umepata kibali kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili




Luka 1:30
13 Marejeleo ya Msalaba  

Marra Yesu akasema nao, akinena, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope.


Malaika akajibu, akawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua ya kuwa mnanitafuta Yesu aliyesulibiwa.


Yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mke wako Elizabeti atakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana.


Msiogope, enyi kundi dogo, kwa kuwa Baba yenu ameona vyema kuwapeni ufalme.


Usiogope, Paolo, huna buddi kusimama mbele ya Kaisari: tena, tazama, Mungu amekupa watu wote wanaosafiri pamoja nawe.


Bassi, na tuseme nini baada ya hayo? Mungu akiwa upande wetu, nani aliye juu yetu?


Hatta twathubutu kusema, Bwana ndiye anisaidiae, sitaogopa: mwana Adamu atanitenda nini?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo