Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Nae akafadhaika kwa khabari ya neno hili, akawaza moyoni mwake, Hii ni salamu gani?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: Maneno hayo yanamaanisha nini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: Maneno hayo yanamaanisha nini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: maneno hayo yanamaanisha nini?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Mariamu akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni salamu hii ni ya namna gani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Mariamu akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?”

Tazama sura Nakili




Luka 1:29
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wakabishana wao kwa wao, wakinena, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.


Zakaria akafadhaika alipomwona, khofu ikamwingia.


Akaja kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.


Na wote waliosikia wakayaweka mioyoni mwao, wakinena, Mtoto gani bassi atakuwa huyu? Kwa maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nae?


Bali Mariamu aliyahifadhi maneno haya yote akiyatafakari moyoni.


Akashuka pamoja nao, akafika Nazareti, akawa anawatii: mama yake akayahifadhi maneno haya yote moyoni mwake.


Hatta Petro alipokuwa akiona mashaka ndani ya nafsi yake, maana yake nini maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakiislia kuiulizia nyumba ya Simon, wakasimama mbele ya mlango,


Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Maombi yako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo