Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 1:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 kwa mwanamke bikira aliyekuwa ameposwa na mume, jina lake Yusuf, wa nyumba ya Daud; na jina la yule mwanamke Mariamu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 kwa msichana mmoja bikira aitwaye Maria, mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosefu, wa ukoo wa Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 kwa msichana mmoja bikira aitwaye Maria, mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosefu, wa ukoo wa Daudi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 kwa msichana mmoja bikira aitwaye Maria, mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosefu, wa ukoo wa Daudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu mmoja jina lake Yusufu wa nyumba ya Daudi. Jina la huyu mwanamwali bikira ni Mariamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu mmoja jina lake Yusufu wa nyumba ya Daudi. Jina la huyu mwanamwali bikira ni Mariamu.

Tazama sura Nakili

Luka 1:27
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yakob akamzaa Yusuf mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwae Kristo.

Na kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipoposwa na Yusuf, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Angalia, mwanamke bikira atachukua mimba, nae atazaa mwana, Na watamwita jina lake Immanuel; tafsiri yake, Mungu kati yetu.

Akaja kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo