Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Mwezi wa sita malaika Gabrieli alipelekwa na Mungu kwenda mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alimtuma malaika Jibraili aende Galilaya katika mji wa Nasiri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mwenyezi Mungu alimtuma malaika Jibraili aende Galilaya katika mji wa Nasiri,

Tazama sura Nakili




Luka 1:26
8 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Malaika akamjibu, akamwambia, Mimi ni Gabrieli nisimamae mbele ya Mungu: nami nalitumwa niseme nawe, na kukupasha khabari hizi njema.


Nao walipokwisha kuyatimiza yote yaliyomo katika sharia ya Bwana, wakarudi Galilaya hatta mji wao Nazareti,


Na Yusuf nae akaondoka Galilaya kutoka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Yahudi hatta mji wa Daud, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye wa nyumba na jamaa ya Daud,


Wengine walinena, Je! Kristo atoka Galilaya?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo