Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana, siku zile alizoniangalia, kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Elizabeti akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonitendea aliponipa kibali na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.”

Tazama sura Nakili




Luka 1:25
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mke wako Elizabeti atakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana.


Hatta baada ya siku zile mkewe Elizabeti akachukua mimba akajificha miezi mitano, akisema,


Kwa imani hatta Sara mwenyewe alipokea nwezo wa kuwa na mimba, alipokuwa amepita wakati wake; kwa kuwa alimwona yeye aliyeahidi kuwa mwaminifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo