Luka 1:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Ikawa siku za khuduma yake zilipotimia, akaenda zake nyumbani kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani mwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani kwake. Tazama sura |