Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Na wale watu walikuwa wakimugojea Zakaria, wakastaajabu kwa kukawia kwake mle hekaluni:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wakati huo, wale watu walikuwa wanamngoja Zakaria huku wakishangaa juu ya kukawia kwake hekaluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wakati huo, wale watu walikuwa wanamngoja Zakaria huku wakishangaa juu ya kukawia kwake hekaluni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wakati huo, wale watu walikuwa wanamngoja Zakaria huku wakishangaa juu ya kukawia kwake hekaluni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wakati huo watu walikuwa wanamngojea Zakaria nje huku wakishangaa kukawia kwake mle Hekaluni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wakati huo watu walikuwa wanamngojea Zekaria nje huku wakishangaa kukawia kwake mle Hekaluni.

Tazama sura Nakili




Luka 1:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akavitupa vile vipande vya fedha katika patakatifu, akaondoka; akaenda, akajinyonga.


Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.


Nawe utakuwa bubu, usiweze kusema hatta siku ile yatakapotokea hayo: kwa sababu hukusadiki maneno yangu: nayo yatatimizwa wakati wake.


hatta alipotoka hakuweza kusema nao, wakatambua ya kuwa ameona maono mle hekaluni; nae alikuwa akiwapungia mkouo, akadumu kuwa bubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo