Luka 1:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Nawe utakuwa bubu, usiweze kusema hatta siku ile yatakapotokea hayo: kwa sababu hukusadiki maneno yangu: nayo yatatimizwa wakati wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Sikiliza, utakuwa bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia kwa wakati wake. Hutaweza kusema mpaka hayo niliyokuambia yatakapotimia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Sikiliza, utakuwa bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia kwa wakati wake. Hutaweza kusema mpaka hayo niliyokuambia yatakapotimia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Sikiliza, utakuwa bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia kwa wakati wake. Hutaweza kusema mpaka hayo niliyokuambia yatakapotimia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Basi sasa kwa kuwa hujaamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati wake, utakuwa bubu hadi siku ile mambo haya yatakapotukia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Basi sasa kwa kuwa hujaamini maneno yangu ambayo yatatimizwa kwa wakati wake, utakuwa bubu hadi siku ile mambo haya yatakapotukia.” Tazama sura |