Luka 1:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Malaika akamjibu, akamwambia, Mimi ni Gabrieli nisimamae mbele ya Mungu: nami nalitumwa niseme nawe, na kukupasha khabari hizi njema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mwenyezi Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema. Tazama sura |