Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 1:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akatokewa na Malaika wa Bwana, amesimama upande wa kuume wa madhbahu ya kufukizia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zakaria.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zekaria.

Tazama sura Nakili




Luka 1:11
15 Marejeleo ya Msalaba  

Malaika akamjibu, akamwambia, Mimi ni Gabrieli nisimamae mbele ya Mungu: nami nalitumwa niseme nawe, na kukupasha khabari hizi njema.


Akaja kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.


Malaika akawaambia, Msifanye khofu; kwa maana nawaletea ninyi khabari njema za furaha kuu, itakayokuwa kwa watu wote:


Malaika wa Bwana akawatokea, utukufu wa Bwana ukawangʼaria: wakaingiwa na khohi nyingi.


lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,


Hawo wote si roho zitumikazo, wakitumwa kuwakhudumu wale watakaourithi wokofu?


Malaika wa sita akapiga baragumu, nikasikia sauti moja iliyotoka mbele za Mungu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo