Luka 1:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Na mkutano wote wa watu walikuwa wakisali nje, saa ya kufukiza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nao wakati wa kufukiza uvumba ulipowadia, wale wote waliokuwa wamekusanyika ili kuabudu walikuwa nje wakiomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nao wakati wa kufukiza uvumba ulipowadia, wale wote waliokuwa wamekusanyika ili kuabudu walikuwa nje wakiomba. Tazama sura |