Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Kwa hiyo, nijapokuwa nina ujasiri katika Kristo kukuagiza likupasalo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kwa sababu hiyo, ningeweza, kwa uhodari kabisa, nikiwa ndugu yako katika kuungana na Kristo, kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kwa sababu hiyo, ningeweza, kwa uhodari kabisa, nikiwa ndugu yako katika kuungana na Kristo, kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kwa sababu hiyo, ningeweza, kwa uhodari kabisa, nikiwa ndugu yako katika kuungana na Kristo, kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Hata hivyo, ingawa katika Al-Masihi ningekuwa na ujasiri wa kukuagiza yale yakupasayo kutenda,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Hata hivyo, ingawa katika Al-Masihi ningeweza kuwa na ujasiri na kukuagiza yale yakupasayo kutenda,

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:8
7 Marejeleo ya Msalaba  

Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga ninyi wala si kuwaangusha), sitatahayarika;


Nanena kwa jinsi ya kujidhili kana kwamba sisi tulikuwa dhaifu. Illakini, akiwa mtu anao ujasiri kwa lo lote, (nanena kipuuzi), na mimi niuao ujasiri.


Bassi, kwa kuwa tuna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi;


wala aibu wala maneno ya upuuzi wala ubishi; haya hayapendezi; bali afadhali kushukuru.


bali tukiisha kuteswa kwanza na kutendwa jeuri, kama mjuavyo, katika Filippi, twalithubutu katika Mungu kuinena Injili ya Mungu kwenu, kwa kuishindania sana.


Hatukutaka kusifiwa na watia Adamu, wala na ninyi, wala na wengine, tulipokuwa tuliweza kuwalemea kama mitume wa Kristo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo