Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 nikisikia khabari ya upendo wako na ya imani uliyo nayo kwa Bwana Yesu na kwa watakatifu wote;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 maana nasikia habari za imani yako kwa Bwana Yesu na upendo wako kwa watu wote wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 kwa sababu ninasikia kuhusu imani yako katika Bwana Isa na upendo wako kwa watakatifu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 kwa sababu ninasikia juu ya imani yako katika Bwana Isa na upendo wako kwa watakatifu wote.

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:5
13 Marejeleo ya Msalaba  

nikiwashuhudia Wayahudi na Wayunani toba iliyo kwa Mungu, na imani iliyo kwa Bwana wetu Yesu Kristo.


kwa mahitaji ya watakatifu, mkiwashirikisha; katika kukaribisha wageni, mkijitahidi.


KWA khabari ya ile changizo kwa ajili ya watakatifu, kama vile nilivyoamuru makanisaya Galatia, na ninyi fanyeni vivyo hivyo.


Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.


Kwa sababu hiyo na mimi, tangu nilipopata khabari za imani yenu katika Bwana Yesu, na pendo lenu kwa watakatifu wote,


tuliposikia khabari za imani yenu katika Kristo Yesu, na upendo mlio nao kwa watakatifu wote;


Lakini Timotheo alipotujia siku hizi kutoka kwenu, akatuletea khabari njema za imani yenu na upendo wenu, na ya kwamba mnatukumbuka vema siku zote: mkitamani kutuona sisi vile vile kama sisi ninyi;


Maana tuna furaha na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa kuwa mioyo ya watakatifu lmeburudishwa nawe, ndugu.


Na hii ndiyo amri yake, tuliamini jina la Mwana wake Yesu Kristo, na kupendana, kama alivyotupa amri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo