Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Neema ya Bwana Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Neema ya Bwana Isa Al-Masihi iwe pamoja na roho zenu. Amen.

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:25
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu kwa upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amin.


Bwana Yesu Kristo awe pamoja na roho yako. Neema na iwe nanyi. Amin.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo