Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Nikiamini kutii kwako nimekuandikia, nikijua ya kuwa utafanya zaidi ya hayo nisemayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Naandika nikitumaini kwamba utanikubalia ombi langu; tena najua kwamba utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Naandika nikitumaini kwamba utanikubalia ombi langu; tena najua kwamba utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Naandika nikitumaini kwamba utanikubalia ombi langu; tena najua kwamba utafanya hata zaidi ya haya ninayokuomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Huku nikiwa na hakika ya kutii kwako, nakuandikia nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya yale ninayokuomba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Nikiwa na hakika ya utii wako, nakuandikia, nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya yale ninayokuomba.

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:21
6 Marejeleo ya Msalaba  

na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani,


Nami naliwaandikia neno lili hili, illi, nijapo nisitiwe huzuni na wale ambao ilinipasa kuwafurahia; nikiwatumainia ninyi nyote kwamba furaha yangu ni yenu nyote pia.


Nafurahi, kwa sababu katika killa neno nina moyo mkuu kwa ajili yenu.


Nasi pamoja nae tumemtuma ndugu yetu tuliyemwona katika mambo mengi kuwa ana bidii, na sasa ana bidii zaidi sana kwa sababu ya tumaini alilo nalo kwenu.


Nina matumaini kwenu katika Bwana, kwamba hamtakuwa na nia ya namna nyingine. Lakini yeye anaewafadhaisha atachukua hukumu yake awae yote.


Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tuliyowaagizeni, tena kwamba mtayafanya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo