Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Naam, ndugu yangu, nipate faida kwako katika Bwana; uniburudishe moyo waugu katika Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Naam, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Naam, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Naam, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la Bwana; burudisha moyo wangu kama ndugu katika Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana Isa, yaani uniburudishe moyo wangu katika Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana Isa, uuburudishe moyo wangu katika Al-Masihi.

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:20
14 Marejeleo ya Msalaba  

Maana wamenihurudisha roho yangu, na roho zenu pia; bassi wajueni sana watu kama hao.


Maana mimi nikiwatia huzuni, hassi ni nani anifurahishae illa yeye ahuzunishwae nami?


Kwa hiyo tulifarijiwa; na katika kufarijiwa kwetu tulifurahi sana kupita kiasi kwa sababu ya furaha ya Tito; maana roho yake imeburudishwa na ninyi nyote.


Maana Mungu ni shahidi wangu, jinsi ninavyowaonea shauku katika moyo wake Kristo Yesu.


BASSI, ndugu zangu, wapendwa wangu, ninaowaonea shauku, furaha yangu, na taji yangu, simameni imara katika Bwana, wapenzi wangu.


niliyemtuma kwako, nawe umkubali, maana ni moyo wangu;


Maana tuna furaha na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa kuwa mioyo ya watakatifu lmeburudishwa nawe, ndugu.


Watiini walio na mamlaka juu yenu, na kujinyenyekea kwao; maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu, kama watu watakaotoa hesabu, illi wafanye hivyo kwa furaha wala si kwa kuugua; maana isingewafaa ninyi.


Lakini mtu akiwa na riziki ya dunia hii, akamwona ndugu yake yu muhitaji, akamzuilia huruma zake, je! huko ndiko kumpenda Mungu?


Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo