Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 na kwa Appia, ndugu yetu mpendwa, na kwa Arkippo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 na kanisa linalokutana nyumbani kwako, na wewe dada Afia, na askari mwenzetu Arkipo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini wanaokutana nyumbani mwako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 kwa dada yetu mpendwa Afia, kwa Arkipo askari mwenzetu na kwa kundi la waumini lile likutanalo nyumbani mwako:

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:2
7 Marejeleo ya Msalaba  

NAWAPENI sifa njema za Foibe ndugu yetu, aliye mwenye khuduma katika kanisa lilioko Kenkrea,


nisalimieni kanisa lililomo katika nyumba yao. Nisalimieni Epaineto, mpenzi wangu, aliye malimbuko ya Asia kwa Kristo.


Makanisa ya Asia wawasalimu. Akula na Priskilla wawasalimu sana katika Bwana, pamoja na kanisa lililo ndani ya nyumba yao.


Lakini naliona imenilazimu kumtuma Epafrodito, ndugu yangu, mtendaji wa kazi pamoja nami, askari pamoja nami; tena ni mtume wenu na mkhudumu wa muhitaji yangu.


Wasalimuni ndugu walio katika Laodikia, na Numfa, na kanisa lililo katika nyumba yake.


Mwambieni Arkippo, Iangalie sana khuduma ile uliyopewa katika Bwana, illi uitimize.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo