Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Filemoni 1:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Mimi Paoio nimeandika kwa mkouo waugu mweuyewe, nitalipa. Sikuambii kwamba wawiwa nami hatta nafsi yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: Mimi Paulo nitalipa! (Tena sina haja ya kusema kwamba wewe unalo deni kwangu la nafsi yako).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: Mimi Paulo nitalipa! (Tena sina haja ya kusema kwamba wewe unalo deni kwangu la nafsi yako).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: Mimi Paulo nitalipa! (Tena sina haja ya kusema kwamba wewe unalo deni kwangu la nafsi yako).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa hilo deni. Kumbuka kwamba nakudai hata nafsi yako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako.

Tazama sura Nakili




Filemoni 1:19
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana.


Maana mimi ndiye aliyewazaa katika Kristo Yesu kwa Injili.


NAMI Paolo, nawasihi kwa upole na utaratibu wa Kristo, mimi niliye mnyenyekevu niwapo pamoja nanyi, bali nisipokuwapo mwenye ujasiri kwenu;


Barua yetu ni ninyi iliyoandikwa mioyoni mwetu, inajulikana na kusomwa na watu wote;


kusudi, wakija Wamakedoni pamoja nami, na kuwakuta hamjawa tayari, tusije tukatahayarika sisi, tusiseme ninyi, katika hali hii va kutumaini.


Fahamuni, mimi Paolo nawaambia ninyi ya kwamba, mkitahiriwa, Kristo hatawafaidia neno.


Tazameni kwa harufi gani kubwa nimewaandikieni kwa mkono wangu mimi mwenyewe.


kwa Timotheo, mwana wangu khassa katika imani, Neema, na rehema, na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.


kwa Tito, mwanangu katika imani tuishirikiyo: Neema na rehema na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo, Mwokozi wetu.


Na kama amekudhulumu, au awiwa nawe kitu, ukiandike juu yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo