Filemoni 1:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Na kama amekudhulumu, au awiwa nawe kitu, ukiandike juu yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako, basi, unidai mimi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. Tazama sura |