Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Filemoni 1:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Maana, labda ndio sababu alitengwa nawe muda kitambo illi uwe nae tena milele;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Labda Onesimo aliondoka kwako kwa kitambo tu, kusudi uweze tena kuwa naye daima.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Huenda sababu ya Onesimo kutengwa nawe kwa muda ni ili uwe naye daima,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima.

Tazama sura Nakili

Filemoni 1:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

illi wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo