Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




3 Yohana 1:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Maana nalifurahi mno walipokuja ndugu na kuishuhudia kweli yako, kama nendavyo katika kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Nimefurahi sana ndugu kadhaa walipofika hapa, wakashuhudia juu ya uaminifu wako kuhusu ukweli; naam, wewe unaishi daima katika ukweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Nimefurahi sana ndugu kadhaa walipofika hapa, wakashuhudia juu ya uaminifu wako kuhusu ukweli; naam, wewe unaishi daima katika ukweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Nimefurahi sana ndugu kadhaa walipofika hapa, wakashuhudia juu ya uaminifu wako kuhusu ukweli; naam, wewe unaishi daima katika ukweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza kuhusu uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ilinifurahisha sana baadhi ya ndugu walipokuja na kutueleza juu ya uaminifu wako katika kweli na jinsi unavyoendelea kuenenda katika hiyo kweli.

Tazama sura Nakili




3 Yohana 1:3
17 Marejeleo ya Msalaba  

Siku zile akasimama Petro kati ya wanafunzi, akasema (jumla ya majina ilipata mia na ishirini),


haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;


Tuwapo na nafasi na tuwatendee watu wote mema; khassa watu walio wa nyumba ya imani.


siku zote killa niwaombeapo ninyi nyote nikisema sala zangu kwa furaha,


kwa ajili ya ile kweli ikaayo ndani yetu, nayo itakuwa pamoja nasi hatta milele.


Nalifurahi mno kwa kuwa naliwaona baadhi ya watoto wako wanaenenda katika kweli, kama vile tulivyopokea amri kwa Baba.


Kwa hiyo, nikija, nitamkumbusha matendo yake ate-ndayo, akitoa upuzi juu yetu kwa maneno maovu; wala hatoshwi na hayo, yeye mwenyewe hawakaribishi ndugu, na wale watakao kuwakaribisha, huwazuia, na kuwatoa katika kanisa.


Mpenzi, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.


Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.


Mpenzi, kazi ile ni ya naminifu uwatendeayo ndugu na wageni,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo