Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

3 Yohana 1:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Amani kwako. Rafiki zetu wakusalimu. Wasalimu rafiki, killa mtu kwa jina lake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Nakutakia amani. Rafiki zako wanakusalimu. Wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Amani iwe kwako. Rafiki zetu walio hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walio huko, kila mmoja kwa jina lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Amani iwe kwako. Rafiki zetu walioko hapa wanakusalimu. Wasalimu hao rafiki zetu walioko huko, kila mmoja kwa jina lake.

Tazama sura Nakili

3 Yohana 1:15
0 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo