Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




3 Yohana 1:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 MZEE kwa Gaio mpenzi, nimpendae katika kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mimi mzee, nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mimi mzee, nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mimi mzee, nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Mzee. Kwa Gayo rafiki yangu nimpendaye katika kweli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Mzee: Kwa Gayo rafiki yangu, nimpendaye katika kweli.

Tazama sura Nakili




3 Yohana 1:1
9 Marejeleo ya Msalaba  

Wakafanya hivyo, wakawapelekea wazee kwa mikono ya Barnaha na Saul.


Mji wote ukajaa ghasia, wakaenda mbio wakaingia theatro kwa moyo mmoja, wakiisha kuwakamata Gaio na Aristarko, watu wa Makedonia waliosafiri pamoja na Paolo.


Watu hawa wakafuataua nae mpaka Asia, Sopater Mberoya, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thessalonika, na Gayo mtu wa Derbe, na Tukiko na Trofumo watu wa Asia.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


An mlibatizwa kwa jina la Paolo?


NAWASIHI wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadae;


Watoto, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, biali kwa tendo na kweli.


Mpenzi, naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo