2 Yohana 1:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Maana ampae salamu azishirika kazi zake mbovu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Maana anayemsalimu mtu huyo, anashirikiana naye katika matendo yake maovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Yeyote amkaribishaye mtu kama huyo anashiriki katika matendo yake maovu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Yeyote amkaribishaye mtu wa namna hiyo anashiriki katika matendo maovu ya mtu huyo. Tazama sura |