2 Wathesalonike 3:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 Salamu zangu mimi Paolo, kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndiyo alama katika killa waraka, ndivyo niandikavyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kwa mkono wangu mwenyewe naandika hivi: Salamu kutoka kwa Paulo! Hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kwa mkono wangu mwenyewe naandika hivi: Salamu kutoka kwa Paulo! Hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kwa mkono wangu mwenyewe naandika hivi: Salamu kutoka kwa Paulo! Hivi ndivyo ninavyotia sahihi kila barua; ndivyo ninavyoandika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mimi, Paulo, ninaandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndio alama ya utambulisho katika barua zangu zote. Hivi ndivyo niandikavyo. Tazama sura |