Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wathesalonike 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa maana hatta wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, bassi, asile chakula.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Tulipokuwa pamoja nanyi tulikuwa tukiwaambieni, “Mtu yeyote asiyependa kufanya kazi, asile chakula.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Tulipokuwa pamoja nanyi tulikuwa tukiwaambieni, “Mtu yeyote asiyependa kufanya kazi, asile chakula.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Tulipokuwa pamoja nanyi tulikuwa tukiwaambieni, “Mtu yeyote asiyependa kufanya kazi, asile chakula.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa maana hata tulipokuwa pamoja nanyi, tuliwapa amri kwamba: “Mtu yeyote asiyetaka kufanya kazi, hata kula asile.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa maana hata tulipokuwa pamoja nanyi, tuliwapa amri kwamba: “Mtu yeyote asiyetaka kufanya kazi, hata kula asile.”

Tazama sura Nakili

2 Wathesalonike 3:10
11 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Haya ndiyo maneno yangu niliyowaambieni, nilipokuwa kwenu, ya kuwa hayana buddi kutimizwa yote niliyoandikiwa katika torati ya Musa, na katika manabii, na katika zaburi.

Lakini nimewaambieni haya, illi kusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambieni. Haya sikuwaambieni tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwa pamoja nanyi.

Walipofika kwake, akawaambia, Ninyi mnajua tangu siku ya kwanza nilipokanyaga hapa Asia, jinsi nilivyokuwa kwenu wakati wote,

Kwa maana tulipokuwa kwenu tulitangulia kuwaambieni kwamba tutapata kuteswa, kama ilivyotukia, nanyi mwajua.

tena mjitahidi kutulia, na kutenda shughuli zenu na kufanya kazi kwa mikono yenu wenyewe kama tulivyowaagiza;

Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwa pamoja nanyi naliwaambieni hayo?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo