2 Wathesalonike 2:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Na sasa lizuialo mwalijua, apate kufunuliwa huyu wakati wake. Maana ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini kuna kitu kinachomzuia sasa, nanyi mwakijua kitu hicho. Basi, huyo Mwovu ataonekana wakati wake ufaao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini kuna kitu kinachomzuia sasa, nanyi mwakijua kitu hicho. Basi, huyo Mwovu ataonekana wakati wake ufaao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini kuna kitu kinachomzuia sasa, nanyi mwakijua kitu hicho. Basi, huyo Mwovu ataonekana wakati wake ufaao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nanyi sasa mnajua kinachomzuia, ili apate kudhihirishwa wakati wake utakapowadia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nanyi sasa mnajua kinachomzuia, ili apate kudhihirishwa wakati wake utakapowadia. Tazama sura |