Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wathesalonike 2:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwa pamoja nanyi naliwaambieni hayo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Je, hamkumbuki kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?

Tazama sura Nakili




2 Wathesalonike 2:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

Hamjafahamu hado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyookota?


Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? wala hamkumbuki?


Lakini nimewaambieni haya, illi kusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambieni. Haya sikuwaambieni tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwa pamoja nanyi.


Kwa biyo kesheni, mkikumbuka kama miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya killa mtu kwa machozi.


husuda, ulevi, ulafi, na yanayofanana na haya; juu ya haya nawaambieni mapema, kama nilivyokwisha kuwaambieni, watu watendao mambo ya jinsi hii hawatanrithi ufalme wa Mungu.


vile vile kama mjuavyo jinsi tulivyomwonya killa mmoja wemi kama baba amwonavyo mtoto wake, tukiwatieni moyo na kushuhudia,


Kwa maana tulipokuwa kwenu tulitangulia kuwaambieni kwamba tutapata kuteswa, kama ilivyotukia, nanyi mwajua.


Na sasa lizuialo mwalijua, apate kufunuliwa huyu wakati wake. Maana ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi;


Kwa maana hatta wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, bassi, asile chakula.


Walakini nitajitahidi, illi killa wakati baada ya kufariki kwangu mpate kuyakumbuka mambo haya.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo