Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wathesalonike 2:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 illi wahukumiwe wote wasioamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 na hivyo wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.

Tazama sura Nakili




2 Wathesalonike 2:12
21 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliposikia wakafurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.


Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.


Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.


ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao haya wamestahili mauti, wanafanya haya, wala si hivyotu, bali wakubaliana nao wayatendao.


Pendo niwe nalo pasipo unafiki; mkichukia lililo ovu, mkiambatana na lililo jema.


na wale wenye fitina, wasioitii kweli, bali wakubalio dhuluma, hasira na ghadhabu;


haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;


Kwa kuwa Mungu hakutuweka kwa hasira vake bali tupate wokofu, kwa Bwana wetu Yesu Kristo,


na katika madanganya yote ya udhalimu kwao wanaopotea: kwa sababu hawakukubali kuipenda kweli, wapate kuokolewa.


Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa: hukumu yao tangu zamani haikawii, wala upotevu wao hausinzii.


Mpenzi, usiuige ubaya, bali wema. Yeye atendae mema ni wa Mungu, bali yeye atendae mabaya hakumwona Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo