2 Wathesalonike 2:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Kwa biyo Mungu atawaletea nguvu ya upotevu, wauamini uwongo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kwa sababu hii, Mungu anawatumia nguvu ya udanganyifu, ili waamini uongo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kwa sababu hii, Mwenyezi Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo, Tazama sura |