2 Wathesalonike 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Neema iwe kwenu na imani zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na Bwana Yesu Kristo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Neema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi na kwa Bwana Isa Al-Masihi ziwe nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba na Bwana Isa Al-Masihi iwe nanyi. Tazama sura |