Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wathesalonike 1:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 PAOLO, Silwano, na Timotheo kwa kanisa la Wathessaloniki lililo katika Mungu Baba yetu, na Bwana Yesu Kristo:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba yetu na wa Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba yetu na wa Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mimi Paulo, Silwano na Timotheo, kwa jumuiya ya kanisa la Thesalonike, ambayo ni watu wake Mungu Baba yetu na wa Bwana Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Paulo, Silvano na Timotheo. Kwa kundi la waumini la Wathesalonike mlio katika Mungu, Baba yetu, na Bwana Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Paulo, Silvano na Timotheo: Kwa kundi la waumini la Wathesalonike mlio katika Mungu Baba yetu na Bwana Isa Al-Masihi:

Tazama sura Nakili




2 Wathesalonike 1:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi ikawapendeza mitume na wazee na Kanisa lote kuwachagua watu miongoni mwao na kuwapeleka Antiokia pamoja na Paolo na Barnaba: nao ni hawa, Yuda aliyekwitwa Barsaba, na Sila, watu wakuu katika ndugu.


AKAFIKA Derbe na Lustra, na hapo palikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, mwana wa mwanamke mmoja Myahudi aliyeamini: lakini baba yake alikuwa Myunani.


WAKIISHA kupita kati ya Amfipoli na Apollonia wakafika Thessalonika, na hapo palikuwa na sunagogi la Wayahudi.


Maana Mwana wa Mungu, Yesu Kristo, aliyekhubiriwa na sisi kati yenu, na mimi na Silwano na Timotheo, hakuwa ndiyo na siyo; bali katika yeye ndiyo imepata kuwako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo