Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 9:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Yeye hutoa kwa ukarimu, huwapa maskini; wema wake wadumu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kama ilivyoandikwa: “Ametawanya vipawa vyake kwa ukarimu akawapa maskini; haki yake hudumu milele.”

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 9:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, sasa inabaki imani, tumaini, upendo, hizi tatu; na iliyo kuu katika hizi ni upendo.

Na yeye amruzukuye mbegu mwenye kupanda, atoae mkate uwe chakula, atawapeni mbegu za kupanda na kuzizidisha, atayaongeza mazao ya haki yenu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo