Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 8:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 tukitangulia kufikiri yaliyo mema, si mbele ya Bwana tu, bali na mbele ya wana Adamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Nia yetu ni kufanya vema, si mbele ya Bwana tu, lakini pia mbele ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Nia yetu ni kufanya vema, si mbele ya Bwana tu, lakini pia mbele ya watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Nia yetu ni kufanya vema, si mbele ya Bwana tu, lakini pia mbele ya watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwa kuwa tunakusudia kufanya kile kilicho haki, si machoni mwa Bwana Isa peke yake, bali pia machoni mwa wanadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwa kuwa tunakusudia kufanya kile kilicho haki, si machoni mwa Bwana Isa peke yake, bali pia machoni mwa watu wengine.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 8:21
19 Marejeleo ya Msalaba  

Tena matendo yao yote huyatenda illi kutazamwa na watu: hupanua fulakteria zao, huongeza matamvna ya mavazi yao;


Vivi hivi nuru yenu iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wakamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.


ANGALIENI msitoe sadaka zenu mbele ya watu, kusudi mtazamwe nao: kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.


sadaka yako iwe kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.


Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Andaeni yaliyo mema machoni pa watu wote.


Kwa kuwa yeye amtumikiae Kristo katika mambo haya humpendeza Mungu, tena hukubaliwa na wana Adamu.


Kwa maana sisi si kama wengi, walighoshio neno la Mungu; bali kama watu wasemao kwa weupe wa moyo, kaina watu watumwao na Mungu, mbele za Mungu, twanena katika Kristo.


Tukijiepusha na neno hili, mtu asije akatulaumu katika khabari ya karama hii inayokhudumiwa nasi;


Nasi pamoja nae tumemtuma ndugu yetu tuliyemwona katika mambo mengi kuwa ana bidii, na sasa ana bidii zaidi sana kwa sababu ya tumaini alilo nalo kwenu.


Khatimae, ndugu zangu, mambo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya heshima, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye kuvuma vizuri, ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini haya.


jitengeni na ubaya wa killa namna.


Imempasa tena kushuhudiwa mazuri na watu walio nje; asitumbukie katika lawama na mtego wa Shetani.


Bassi napenda wajane wasio wazee waolewe, wazae watoto, watawale mambo ya nyumbani, wasimpe adui nafasi ya kulaumu;


mwe na maongezi mazuri kati ya Mataifa, illi, iwapo huwasingizia kuwa mnatenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo