2 Wakorintho 8:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Kama ilivyoandikwa, Aliyekusanya vingi, hakuzidi, nae aliyekusanya vichache hakupungukiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kama Maandiko yasemavyo: “Aliyekusanya kwa wingi hakuwa na ziada, na yule aliyekusanya kidogo hakupungukiwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kama Maandiko yasemavyo: “Aliyekusanya kwa wingi hakuwa na ziada, na yule aliyekusanya kidogo hakupungukiwa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kama Maandiko yasemavyo: “Aliyekusanya kwa wingi hakuwa na ziada, na yule aliyekusanya kidogo hakupungukiwa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndipo patakuwa na usawa, kama ilivyoandikwa: “Aliyekusanya zaidi hakuwa na ziada, wala aliyekusanya kidogo hakupungukiwa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndipo patakuwa na usawa, kama ilivyoandikwa: “Aliyekusanya zaidi hakuwa na ziada, wala aliyekusanya kidogo hakupungukiwa.” Tazama sura |