Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 8:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Maana sisemi haya, illi wengine waachiliwe ninyi mkalemewe,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Nyinyi hampaswi kuongezewa taabu kusudi wengine wapunguziwe mzigo wao; sivyo, ila ni lazima tujali usawa na haki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Nyinyi hampaswi kuongezewa taabu kusudi wengine wapunguziwe mzigo wao; sivyo, ila ni lazima tujali usawa na haki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Nyinyi hampaswi kuongezewa taabu kusudi wengine wapunguziwe mzigo wao; sivyo, ila ni lazima tujali usawa na haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Nia yetu si kwamba wengine wasaidike wakati ninyi mnateseka, bali pawe na uwiano.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Nia yetu si kwamba wengine wasaidike wakati ninyi mnateseka, bali pawe na uwiano.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 8:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wala hapakuwa na mtu mmoja miongoni mwao mwenye mahitaji; kwa sababu watu wote waliokuwa na uwanja au nyumba waliviuza, wakaileta thamani ya vitu vile vilivyouzwa

Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.

bali mambo yawe sawa sawa: wakati huu wa sasa wingi wenu uwafae upungufu wao, illi na wingi wao uwafae ninyi upungufu wenu; illi mambo yawe sawa sawa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo