Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 8:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Lakini sasa mkatimize kule kutenda nako, illi kama vile mlivyokuwa tayari kutaka, vivyo hivyo mwe tayari na kutimiza, kwa kadiri ya mlivyo navyo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Basi, kamilisheni shughuli hiyo; na kama vile mlivyokuwa na hamu kubwa ya kusaidia, basi, fanyeni bidii vivyo hivyo, kadiri ya uwezo wenu, kuikamilisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Basi, kamilisheni shughuli hiyo; na kama vile mlivyokuwa na hamu kubwa ya kusaidia, basi, fanyeni bidii vivyo hivyo, kadiri ya uwezo wenu, kuikamilisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Basi, kamilisheni shughuli hiyo; na kama vile mlivyokuwa na hamu kubwa ya kusaidia, basi, fanyeni bidii vivyo hivyo, kadiri ya uwezo wenu, kuikamilisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Sasa ikamilisheni kazi hii, ili shauku yenu ya kuitenda iandamane na kuimaliza, mkijitolea kulingana na uwezo wenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Sasa ikamilisheni kazi hii kwa shauku kama mlivyoanza, jitoleeni kulingana na uwezo wenu.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 8:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

Maana, kama nia ipo, hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu, si kwa kadiri ya asivyo navyo.

Wala si hivyo tu, bali alichaguliwa na makanisa asafiri pamoja nias katika jambo la neema hii inayokhudumiwa nasi, illi Bwana atukuzwe, ikadhihirike ya kuwa mioyo yenu ilikuwa tayari.

Maana nawashuhudia, kwa uwezo wao, na zaidi ya uwezo wao,

Maana najua utajiri wenu, niliojisifia kwa Wamakedoni, kwamba Akaya ilikuwa tayari tangu mwaka mzima; na bidii yenu imewatia moyo watu wengi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo