Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 7:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Illakini Mungu, mwenje kuwafariji wanyonge, alitufariji kwa kuwapo kwake Tito.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge, alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge, alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Lakini Mungu, mwenye kuwapa shime wanyonge, alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa Tito kufika kwetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Bali Mungu, yeye awafarijie wenye huzuni, alitufariji kwa kufika kwake Tito.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 7:6
20 Marejeleo ya Msalaba  

Wa kheri wenye huzuni: maana hawo watafarajika.


Na mimi nitamwomba Baba, nae atawapa Mfariji mwingine, akaae nanyi hatta milele,


Na Mungu mwenye uvumilivu na faraja awajalieni kunia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa namna ya Yesu Kristo;


Kwa hiyo tulifarijiwa; na katika kufarijiwa kwetu tulifurahi sana kupita kiasi kwa sababu ya furaha ya Tito; maana roho yake imeburudishwa na ninyi nyote.


Kwa maana, ikiwa nimejisifu kwake kwa ajili yenu, sikutahayarishwa; hali, kama tulivyowaambieni mambo yote kwa kweli, vivyo hivyo na kujisifu kwetu kwa Tito kulikuwa kweli.


Wala si kwa kuwapo kwake tu, bali kwa zile faraja nazo alizofarijiwa kwenu, akituarifu khabari ya shauku yenu, na maombolezo yenu, na bidii yenu kwa ajili yangu, hatta nikazidi kufurahi.


BASSI ikiwako faraja iliyo yote katika Kristo, yakiwako ma, tulizo yo yote ya mapenzi, ikiwako huruma yo yote na rehema,


tukamtuma Timotheo ndugu yetu, mtumishi wa Mungu, mfanya kazi pamoja naswi katika Injili ya Kristo, kuwafanya ninyi imara na kuwafariji kwa ajili ya imani yenu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo