Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 7:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Nafurahi, kwa sababu katika killa neno nina moyo mkuu kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea nyinyi kabisa katika kila jambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea nyinyi kabisa katika kila jambo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Nafurahi sana kwamba naweza kuwategemea nyinyi kabisa katika kila jambo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Nafurahi kwamba ninaweza kuwatumaini ninyi kabisa.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 7:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

na kujua hakika ya kuwa wewe mwenyewe u kiongozi wa vipofu, mwanga wao walio gizani,


Nami naliwaandikia neno lili hili, illi, nijapo nisitiwe huzuni na wale ambao ilinipasa kuwafurahia; nikiwatumainia ninyi nyote kwamba furaha yangu ni yenu nyote pia.


Nasi tumemtumaini Bwana kwa mambo yenu, kwamba mnayafanya tuliyowaagizeni, tena kwamba mtayafanya.


Nikiamini kutii kwako nimekuandikia, nikijua ya kuwa utafanya zaidi ya hayo nisemayo.


Kwa hiyo, nijapokuwa nina ujasiri katika Kristo kukuagiza likupasalo;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo