Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 6:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Nami nitawakaribisheni, Nitakuwa Baba kwenu, Na ninyi mtakuwa kwangu wana na binti, anena Bwana Mwenyiezi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wanangu, waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Nguvu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wanangu, waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Nguvu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wanangu, waume kwa wake, asema Bwana Mwenye Nguvu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Na, “Mimi nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu wa kiume na wa kike, asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 “Mimi nitakuwa Baba kwenu, nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi.”

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 6:18
21 Marejeleo ya Msalaba  

Bali wote waliompokea aliwapa mamlaka ya kufanyika watoto wa Mungu, ndio waliaminio jina lake:


Kwa maana viumbe vyote pia vinatazamia kwa shauku nyingi siku ile watakayofunuliwa wanawa Mungu.


Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, illi awe mzaliwa wa kwanza katika ndugu wengi.


Maana ninyi nyote ni wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo.


Kwa kuwa ametuchagua tangu zamani illi tufanywe waua wake yeye kwa njia ya Yesu Kristo, kwa mapenzi ya nia yake,


Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisiio, asema Bwana Mungu, alioko, aliyekuwako, na atakaekuwako, Mwenyiezi.


Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyiezi ni hekalu lake, na Mwana kondoo.


Yeye ashindae atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, nae atakuwa Mwana wangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo