Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 6:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Kwa hiyo Tokeni kati yao, mkatengwe nao, asema Bwana, Wala msiguse kitu kilicho kichafu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kwa hiyo Bwana asema pia: “Ondokeni kati yao, mkajitenge nao; msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kwa hiyo, “Tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Mwenyezi Mungu. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 “Kwa hiyo tokeni miongoni mwao, mkatengwe nao, asema Bwana Mwenyezi. Msiguse kitu chochote kilicho najisi, nami nitawakaribisha.”

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 6:17
16 Marejeleo ya Msalaba  

Akawashuhudia kwa maneno mengine mengi sana na kuwaonya, akisema, Jiokoeni na kizazi hiki chenye ukaidi.


Kwa hiyo mkaribishane, kama nae Kristo alivyotukaribisha, illi Mungu atukuzwe.


BASSI, kwa kuwa tuna ahadi hizo, wapenzi, tujitakase nafsi zelu uchafu wote wa mwili na roho, tukitimiza utakatifu katika kumeha Mungu.


Nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo