Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 6:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Belial? Au aammiye ana sehemu gani pamoja na asiyeamini? Tena pana mapatano gani ya hekalu ya Mungu na sanama?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Kristo anawezaje kupatana na Shetani? Mwaamini ana uhusiano gani na asiyeamini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Kristo anawezaje kupatana na Shetani? Mwaamini ana uhusiano gani na asiyeamini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Kristo anawezaje kupatana na Shetani? Mwaamini ana uhusiano gani na asiyeamini?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kuna mapatano gani kati ya Al-Masihi na Beliari? Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kuna mapatano gani kati ya Al-Masihi na Beliari? Yeye aaminiye ana sehemu gani na yeye asiyeamini?

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 6:15
14 Marejeleo ya Msalaba  

Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

waamini wakazidi kuja kwa Bwana, wengi, wanaume ha wanawake:

Petro akamwambia, Fedha yako na ipotelee mbali pamoja nawe, kwa kuwa umedhani ya kuwa karama ya Mungu yapatikana kwa mali.

Bali mwashitakiana, ndugu na ndugu, tena mbele yao wasioamini.

Lakini mtu asiyewatunza walio wake na khassa watu wa nyumba yake ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.

ambae kwa yeye mlimwamini Mungu, aliyemfufua akampa utukufu; hatta imani yenu na tumaini lenu liwe kwa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo