2 Wakorintho 6:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Bassi, illi mlipe kadiri ile ile mliyopewa (nasema nanyi kama na watoto), mkunjuliwe mioyo na ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: Wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Sasa nasema nanyi kama watoto wangu: wekeni mioyo yenu wazi kama nasi tulivyofanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Sasa nasema kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa. Tazama sura |